VIOLENT EXTREMISM NI NINI?

Extremism ni ma ideas zenye zinafanya msee achukie watu au mtu ju ya identity yake. Hio chuki inalead

to discrimination, kusifu stuff dangerous na za kicult hivi na kuanza vita na group fulani.

REPORT KiSIRI HAPA

Umeona ama umesikia kitu ineza kuwa related to terrorism? Usiogope, iseme. Uneza save maisha ya watu.

Inatake minutes kureport. Kama uko na emergency kumbuka kupigia authorities on 999

CHEKI

Umeona mtu anasupport ideas extreme na za hate?

 

Unajua mtu anapenda kuangalia na kushare videos ama picha ziko extreme?

Unajua mtu ako na passports nyingi za majina tofauti?

Umeona neighbour akipata deliveries kisiri na items unusual?

Kuna msee umeona akibuy illegal firearms ama large amounts za chemicals au gas cylinders?

Umeona mtu akitake photos ama ku angalia CCTV na security ya place?

Alafu, umeona very unusual money transactions ama mtu ako na simcards nyingi?

Ukiona content kwa net yenye ina support ama ku glorify terrorism uneza report anonymously hapa

© 2019 by YADA Group