Tuko hapa kukufunza, kukuprotect na kukuempower!

SEMA

Speak Up: Vile Uneza Sema Vitu Kuhusu; Madre, Terrorism na Watoi Kuteswa

Tips na info unatupea huwa tunaforward kwa wenye watashughulikia kwa haraka na wafanye kazi safi.

Chenye unatushow ni siri yetu na wewe, sisi hatutawahi sema nani ametuambia, unless unadai tukucall utushow one on one.

Copyright 2020 | Yang & Daring | info@yadagroup.org

  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram