GET HELP

Manze, tuko hapa ju yako

Tunadai kubonga na wewe kuhusu issues unapitia. Wewe ndo priority yetu so usikawie kutuhalla.

REPORT NOW

Nini inahappen mtaa? Kuna vile uneza tuchapia kisiri

Saa zingine yout huogopa kusema kwa makarao au instituions za gava ju maybe wao huwa sumbua sana. We tuchapie, sis tutashughulikia. 

FIND WORK

Works zikitokea, tunakuchanua.

Come through tukusaidie kutafuta connections uneza fanya. Pia tuna ideas kibao zineza kujenga kibiashara.

SHARE WITH FRIENDS

Tumekuchoke? Tumekunice

Unajua beshte aneza benefit na info iko kwa page yetu? Si uache tutambe kwa handles zao. 

Copyright 2020 | Yang & Daring | info@yadagroup.org

  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram