We are here to

Educate, Protect & Empower you!

AJIRA DIGITAL

Hapa unaget listing za wera zenye ni recent kutoka kwa employers directly. Kuna; Jobo za neti yaani online jobs za majuu na pia za hapa Kenya.

IBM DIGITAL

IBM Digital - Nation Africa program inasaidia mastude, ma entrepreneurs, jamii na wasomi kuget knowledge na tools za kuinnovate, kudesign, kudevelop na kuanzisha solutions zao kidigital au pia kuget job.

Studio Mashinani

Hii mradi ni ya wasanii. Inadai kusupport  creativity ya mayouths na passion yao ya usanii. Ministry ya ICT na KBC warun studio ya kurecord ngoma na voice overs. Kama wewe ni mcreative mbaya hii ndo form yako.

Copyright 2020 | Yang & Daring | info@yadagroup.org

  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram