top of page
Crowd with Masks

Cheki chenye wasee mtaani wanabelieve, na facts zenye WHO na MOH wametupatia

HAKUNA CORONA, NI GAVA HUTUCHOCHA

Corona ni real. Ukicheck dunia mzima countries ka zote zimereport cases, so hakuna vile gava zote za dunia zineza fake ugonjwa.

2.png

UKIKUNYWA POMBE HUTAPATA CORONA

Tei haizuii Corona, actually kukunywa tei mob ni harmful na inaweaken immune system yako.

1.png

MIMI NI MYOUNG SIEZI GET CORONA

Corona haijui age, whether uko 1 year old au 80 years old. Hata ka huonyeshi symptoms unafaa kujikinga usiambukize wengine.

3.png

KUNA DAWA YA CORONA

Kuna trials zinahappen kutafuta cure na vaccine ya Corona, so far (as of 1st Sep) WHO haija approve dawa yeyote kutumika na general public.

4.png

PILI PILI, NDIMU NA GINGER NI DAWA ZA CORONA

Although, ndimu na ginger hutumika kufungua koo, hazizuii corona. Ni vizuri udishi poa, piga tizi na ukunywe maji poa

5.png

NZI NA MBU ZINASPREAD CORONA

Hakuna data inaonyesha Corona inaspread via housefly au mosquito. Corona inaspread via droplets mtu akikohoa, sneeze au kuongea.

6.png

NETWORK YA 5G INASPREAD CORONA

Viruses haziezi spread on radio waves ama network za simu, hata hivo bado Corona inaspread kwa nchi zenye hazina 5G!

7.png

JUA INAUA CORONA

Utaget Corona place yeyote, take example Mombasa na vile kuna joto, au Kajiado pia, na bado wanareport cases.

8.png

UKIPATA CORONA UNAKUFA AU UNABAKI NAYO FOREVER

Although ni deadly! Watu wengi wanacatch Corona Kenya wanarecover hata wakiwa home, as long unafuata guidelines zimeekwa na MOH.

9.png

DAWA ZA PNEUMONIA ZINAZUIA CORONA

Vaccines za pneumonia hazizuii Corona. Hii virus ni tricky sana inahitaji vaccine yake yenye madoki wana ng’ang’ana kutafuta.

10.png
bottom of page