Niaje?

CHEKI

VIDEO LATEST

Humaaans - Standing.png

PATA USAIDIZI

Hapa uneza tubongesha bila worries, tutakuskiza na kukuhelp.

Humaaans - Standing (1).png

TUCHAPIE

Kam utuambie nini inahappen mtaa inakusinya. Kitu unatushow huwa confidential.

Humaaans%20-%20Standing%20(3)_edited.jpg

PATA WORKS

Unatafuta job au unadai tukuchanue vile uneza pata skills za kujiinua?

Humaaans%20-%20Sitting_edited.jpg

SHARE

Unajua beshte aneza saidika na hii page yetu. Acha itambe basi, uneza share...

SI NI NANI

Tuko hapa kukufunza, kukuprotect na kukuempower!

YaDa Group ni mbogi yenye haidai kumake profit. Tuko based Kenya na sisi hudai kueducate mayouts directly ama tukipartner na other organizations na saa zingine gava.

KUNA FORM

Come through tusaidiane kubonga, kufunzana na kuchange tabia za youts.

Copyright 2020 | Yang & Daring | info@yadagroup.org

  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram